Deejay_Ezecking ..............

2 getha we can do more................

Saturday, September 17, 2011

STAR WA SERIES YA SPARTUCUS AFARIKI DUNIA..........

Nimekaa hapa naperuzi katika mtandao nakutana na habari ya kifo cha Andy Whitfield nikashtuka.Mimi ni mmoja kati ya wapenzi wa series aliyowahi kuicheza kama staring ya Spartucus blood and sand.
Ni series iliyokuwa ikielezea maisha ya zamani ya watawala wa kirumi miaka ya 73 na 74 BC na biashara ya utumwa iliyokuwa ikifanyika.Ni series inayotaka roho ngumu kidogo kuiangalia maana ina mauaji sana.Kwa mloiangalia mnajua jinsi gani ilizua mjadala ilipotoka maana matukio ya humo ni balaa.
Andy amefariki akiwa na miaka 39 jumapili ya jana akiwa nchini Australia kwa ugonjwa wa kansa.Ndio mipango ya mungu tena apumzike kwa amani!

No comments:

Post a Comment