
Chandra Wisnu, 57, anasemekana kuwani mmoja wa watu waliowahi kupata ugonjwa wa ngozi mbaya kuliko mtu mwingine yeyote hapa duniani.
Mzee huyu raia wa Indonesia,ni mara chache sana hutoka nyumba yake, na mara inapombidi kutoka hujitahidi kufunika uso wake pamoja na miwani ili kuepusha kuwa kituko njiani .Ilianza kama kipele kimoja wakatii ana umri wa miaka 19,alipofkisha umri wa miaka 24 vipele vilikuwa vimetapakaa karibu sehemu yote ya mgongo wake,By the time ana umri wa miaka 32 tayari vipele vilikuwa vimefunika mwili wake wote
Alijaribu kuwaona madaktari mbalimbali lakini hakuweza pata tiba ya ugonjwa wake,aliambiwa tatizo lake ni la kurithi na isingekuwa rahisi kupata tiba yake.Baada ya kushindwa himili mzigo wa gharama za matibabu mzee huyu alilazimika kuishi maisha ambayo hakuna mwanadamu ambaye anaweza penda ishi hata kwa malipo ya kiasi gani.

Alisema “Hapakuwa na special treatment katika kipindi chote hiki nnachoumwa, nlikuwa tu naambiwa nenda hapa nenda pale”
“Baada ya hali kuwa mbaya baba hakuona tena point ya kuwa ananipeleka tena hospitali,na tangia kipindi hiko sijamuona tena daktari”
“Huu ugonjwa una athari kubwa katika maisha yangu,hivi vipele huwa vina washa kupita maelezo kipindi cha joto”
“kupunguza muwasho na kuepusha watu nicheka huwa navaa majacket matatu na kufunika kichwa changu
“Hamna mtu aliyewahi nidhihaki directly but huwa wananiangalia sana na kunikwepa,watu wengi huwa wana behave very strangely kila wanaponiona
“Sio siri inanifanya nisiwe na amani,na wakati mwingine huwa nashikwa na hasira”
“Wengi hwa wanaogopa sura yangu na pia hukwepa nisiwaambukize”
“Kwa sababu hiyo,ni mara chache sana kuniona natoka nje,na nikitoka basi huwa nakwenda kumpick binti yangu shuleni,na mara zote nikienda huwa nafunika uso wangu pamoja na kichwa ili rafiki wa mtoto wangu wasiwe wanamcheka mwanangu kwamba ana baba mwenye sura ya ajabu”
Nanik Tri Haryani,mke wa huyu mzee,33, anasema: “Zamani sana wakati huu ugonjwa unamuanza mume wangu kutokana na muonekano wake kuwa mbaya aliniomba niondoke na kumwacha peke yake na kamwe nisirudi”
“Nilikataa. kumuona mwenzangu anapitia kipindi kigumu kama hiki katika maisha na kusimama pamoja naye kwangu mimi niliona ni ishara ya nguvu na sio udhaifu”
Leo hii mzee Chandra ameamua kutojificha tena na kujitokeza mbele ya dunia akipiga magoti na kuomba kama kuna mtu anaweza wasaidia wanae wawili,Martin,32,na Lis,26,ambao nao wameanza onesha dalili ya kupata ugonjwa huu unaomtesa baba yao
Mzee huyu hana uwezo wa kuwapeleka wanae kwa daktari na hofu yake kubwa ni kwamba wataishia kuwa na muonekano kama alionao
Alisema: “sijawahi wapeleka hospitali,kwani ni ghali mnoo,na sina uwezo”
“Kama patatokea nafasi ya kupata matibabu ya bure,sita sita kuitumia hiyo nafasi ila kwa sasa sina kingine nnachohitaji maishani zaidi ya matibu kwa familia yangu”
No comments:
Post a Comment