Deejay_Ezecking ..............

2 getha we can do more................

Saturday, September 17, 2011

MISS ANGOLA AWA MISS UNIVERSE 2011......


Miss Angola Leila Lopes ndie Miss Universe 2011.Mashindano hayo yamefanyika usiku wa kuamkia leo huko Brazil ambapo Leila aliwabwaga washiriki wenzake 88 na kuchukua taji.

Tanzania tuliwakilishwa na Nelly Kamwelu mie namwambia karibu tena Tanzania uliplay party yako na maisha yanaendele angalau aliechukua taji ni mwafrika mwenzetu.

No comments:

Post a Comment