
![]() |
BURUDANI ZILIKUWA ZAKUTOSHAAA |
vazi la ubunifuuu lilisimamiwa na designer SHERIA NGOWI.
![]() SHERIA NGOWI JOKATE ye alikuwa ba AFRICAN TOUCH clutch ila sikuipata sawia....nimependa alivyomix swaga B2A Rangi za blue zilitawalaaa....
navutiwaga saaana na nguo ikiwa na mikono mirefu ![]()
INAKUWAAAAAAAAAAAAAAAAAAA Millad Ayo alikuwa live akisababisha fashion police.... ANGALIZOOOO:: Siku hizi mashost mkiwa na mitoko nawashauri tu muwe mnabeba tu angaraaa twa picha maana TANDAZA KILA SEHEM NDO AJIRA MWAYA VIJANA WALIYOJIPATIA...kuliko watukabe bora watuuzie sure zetu wenyewe au mnaonajeeee?!! huyu ndo yule MJ mlomuona stajin nilitamani hiki kivazi nikione kimecmama kwenye red carpet ![]() MAjaji wanawake waliotuwakilishaaaa
hapa wenyewe chambueni CL na CR .....mie changu GL hapo juu ![]() KT ziliwakilisha kama kawa
![]()
![]() ![]() WAFUASI WA LADY GAGA NA HAPA WALIKUWEPOOOO huyu nae tulikuwa nae......cjui nimuwekee CR au CL ;) MADINIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII MADINIIIIIIIIIIIIII MADINIIIIIIIIIIIIII narudia tena MADINIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII.....I salute maana nilifanya tua ukumbi mzima kuona dini lingine la kupiga picha sikuona Hili siweziiii fichaaaa madini ndo ugonjwa wangu nipatapo kapesa ka ziada naamini nikihifadhi kwa njia ya madini birthday gift yangu ni madini......lakini huyuuuuu loh salale....maana ilibidi nimvizie nimpige picha kila nikienda nikirudi picha ikabidi anizoee alijua NimeKWAMA mie na nataabika na nafsi...... na sio kwamba mumewe sonara ivo au mtoto wa Kasmani AKAA teja tu kama mimi ila mwenzangu dozi yake NENE ;)
Mr ake alikuwa na haya hapo shingon sikupata wasaa ya kuyafotoa.....mambo ya kutembea na magorofa haya wallahi msitufanyie ivo ;),
![]() | ||||||||||||||||||
vivazi vya kudancia pia vilitendwa na KIKI FASHIONS |
No comments:
Post a Comment