Deejay_Ezecking ..............
2 getha we can do more................
Sunday, November 21, 2010
STOPAAAAAAAAAAA the legendary kufanya kazi na Dogo VJ ndani ya NOIZMEKAH chini ya D to the X kama anavyo sema shabang

Ni Jarome Frank a.k.a Stopa Rhymes the hip hop legendary kutoka street za fire tayari kasha achia songi la 'Na hustle' katika kazi hiyo amesimama na mzee wa kulalamika 'Rama D' na kwamba huo ni utambulisho wa albamu yake ya pili inayotarajiwa kuanguka kitaani hivi karibuni.
Kamaunakumbuka "Albamu yake ya kwanza iliitwa 'Shule ya Bure' na ilikuwa na ngoma kama 'Jiwe' aliyomshirikisha Nature, Staili tatu niliyosimama mwenyewe na nyingine kibao.
Sasa stopa kafanya kazi ya kushirikishwa na Dogo VJ ndani ya studios za Noizmekah Hapa hapa ARUSHA chini ya producer aliyeipeleka ARUSHA to the next level (DX),
dogo VJ anayesumbua pande za kaskazini na anayesemekana mkali zaidi ya YOUNG DEE.Dogo VJ mwenye track kadhaa zenye punch heavy aliyebaatika kufanya kazi na Mcs wakubwa kaskazini Mfano.Stopa,G nako(nako 2 nako),man batoo,toldo,DX,Finga luu,Donii, na wengine kibaooo. Hakika kazi aliyofanya na stopa ni balaa isake usikilize na ulinganishe punch.Inaitwa Afrika kwanza
Yereeeeeeee hatuwezi sema we are back!kwasababu ukweli ni kwamba we never left the building,nako 2 nako soldiers we battle hard

Nako 2 Nako soldiers 2mewavalia haters magwanda,na ni vita tu raundi hii",wasema machizi hawa wasanii wa hiphop wenye maskani yao pale ololoo a.k.a kaloleni Hapa hapa aruruu,na wamekamilisha video shoot ya track zao mbili chini ya kampuni ya Hoodpixx videos arusha,audio moja ikiwa ni "ndani ya nyumba" toka Bhitz na nyingine "kati kati" toka noizmekah pro arusha.kazi hizi zimetumia mazingira tofauti tofauti ya Atown,viwanja kama club AQ na Empire sports bar huku machizi na warembo kibao kuwapa support machiz wa "nako2nako" katika parts mbalimbali,video ya "kati kati" itatangulia kutimba media ikifatwa na "ndani ya nyumba" itayoachiwa mwezi baadaye,lord eyes asema "hatuwez ruhusu majembe yafie mahabusu,chama kubwa N2N sitakubali tu "kiseserere" hivi hivi (kuseserere-kuanguka)...na Gnako pia anawasisitizia washabiki wa n2n "kaeni macho kupata real ting'az toka kwa wakubwa wa kazi" huku Bou Nako a.k.a "ODINARI" awapa mashabiki na wadau wa hiphop uhakika wa vioo hivyo viwili walivyoshoot kutesa katika media kwa maana ni video mbili matata za madudez,makopo na mipini ya ukweli,huku anacheka,lord alimalizia kwa kusema "hatuwezi sema we are back!kwasababu ukweli ni kwamba we never left the building,nako 2 nako soldiers we battle hard!".
Sunday, November 14, 2010
SITOMWACHA LYRICS BY STEVE R&B Featuring NGWEA
Verse 1: Steve r*b
nakuhitaji we baby
sina raha ukiwa mbali na mimi crazy yeah!
nakuhitaji milele
njoo tujipange wote milele
unipe malavidaviyazidi kilele yeah!
showty you drive me crazy yeah
showty you drive me crazy eeeeeh
Pre chorus
ukinibania ntaumia, utanifanya daily nalia nalia baby
sitovumilia vumila kwani moyo umekuchagua chagua weweX 2
Chorus
sitomwacha sitomwacha
huyu mtoto mzuri nikimpata
ananipagawisha pagawisha
anavyowaka uzuri wake kama taa
showty nikibalieee
showty niwe nawee X 2
Verse 2: Ngwea
yeah , cowbama na east zoo yooh, holla!
nizaidi ya zay b jinsi alivyo gado
huyu baby figure yake roll modal aah
anajiheshim anaheshimika kila angle
hakuna nachofeel kwake zaidi ya mapendo
sina mkataba nae bali nna malengo
anajua kuhandle (ahaaaa) hana skendo
body yake inakubali kila style ya pamba clssic million dolla smile
anauchanganya ubongo wangu ka bacteria
siku nisipo muona i feel sick, like malaria
sio mi wakwanza , nilianza toka enzi
wengi wamechanganyikiwa na mapenzi
she is so sexy yaani so amazing
she drives me crazy baby babyyyy
Repeat chorus
Verse 3: Steve
stojali mi ni wangapi
moyo unachojali girl nikumiliki wee
najihisi mwenye bahati
tuje tuishi wotee milele
hebu punguza hayo mapozi
twende fasta fasta mpaka kwa wazazi
girl you drive me vrazy
ooh you drive me crazy
Repeat pre chorus
Repeat chorus
Bridge: Steve
oooh oooh, baby ooooh oooohhh
(niwe naweee)
ooohhh ooohh baby, ooohh oohhh
(nikubaliee) x 4
Reapeat chorus x2
Thursday, November 11, 2010
JAMBO SQUAD a.k.a watoto wa bibi
Kutoka noizmekah Sha bang na Banx

Ni sha bang the genius a.k.a matejo king toka River camp soldiers na banx direct from Noizmekah studios iliyopo chini ya D 2the X.(DX)
Sha bang kasha fanya traki kadhaa: mf: Uwezo faet G nako na nyingine alifanya na banx mwenyewe,pia kafanya Media zina njaa feat G nako.nanyingine kibao he is direct from River camp
Subscribe to:
Posts (Atom)